Psalms 113:5-6

5 aNi nani aliye kama Bwana Mungu wetu,
Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,
6 bambaye huinama atazame chini
aone mbingu na nchi?
Copyright information for SwhNEN